The Official 2024 Paris Summer Olympics Thread (from July 26 - August 11) - Closing Ceremony replay at 7pm EST

Blackrogue

Superstar
Joined
Mar 19, 2015
Messages
14,055
Reputation
4,322
Daps
46,718
Reppin
Nai
Hongera sana, Kenya kwa kupata dhahabu katika mbio za mita 10000 za Wanawake. Ulaji wote huo wa Sukuma Wiki, Chapati, Ugali, Pilau na Nyama Choma ulipita!

Hata kama hawa ma kalenjin wanashinda wakishinda hizi mbio zote mpaka tumepeleka wengine nje na wanakimbia na jina za nchi zingine. Ruto must go :youngsabo:
 
Top